Raha

歌手: Zuchu • 专辑:I Am Zuchu • 发布时间:2020-04-15
作词 : Zuchu
 作曲 : Zuchu


Yani Kwa Sauti
Kasema Deeka Deeka
Na Mimi Najiachia
Kanipa Shuruti
La Kumteka Teka
Silaha Kanigawia
Mbezi Kimara
Hunipeleka peleka
Mpaka Mwisho Hashuki Hashuki
Kiungo Imara
Hunipenyeka Penyeka
Kwa ya Nguvu Mashuti Mashuti

Oooh Oh!
Kaniweka Darasani Kunifundisha Vizuri
Mengi Hayajulikani Yataka Kuyakariri
Kanichorea Ramani Kopa Lenye Nyingi Siri
Jekundu Nje Na Ndani Rangi Yake Zingifuri

Raha Kupendwa Raha(Mmmhh! Kupendwa Raha)
Raha Jamani Raha(Naona Raha)
Raha (Raha) Kupendwa Raha
Ooh! Kupendwa Raha
Raha Jamani Raha

Eti Niende Msituni
Zaraninge Na Matipwili Nikamroge
Abadan (Abadaan)
Penzi Nichanjie Mizaituni
Kwa vilinge Na Kuzikiri...Linoge
Aah Abadan Aah Abadan
Vineno Vya Kisirani
Kafumwa Na Mwafulani
Mweupe Mara Kijani
Inawahusu Nini?
Vipimo Viso mizani
Kutwa Kwenu Midomoni
Tumewakaa Kichwani
Mtumezee Kwinini

Oooh Oh!
Ndege Asili Ya Buga Kufugwa Hawezekani
Mithili Ya Kivuruga Kaumbiwa Kutamani
Atenda Tafuta Boga Japo Tama Libandani
Ende Tezi Sina Woga Atarejea Ngamani

Raha Kupendwa Raha(Mmmhh! Kupendwa Raha)
Raha Jamani Raha (Naona Raha)
Raha (Raha) Kupendwa Raha
Ooh! Kupendwa Raha
Raha Jamani Raha
📥 下载LRC歌词 📄 下载TXT歌词

支持卡拉OK同步显示,可用记事本编辑