Chapa Chapa

歌手: Ethic Entertainment • 专辑:Music to start your day • 发布时间:2022-10-10
作词 : Swat/Zilla/Rekles/Seska/MotifOnTheBeat
作曲 : Swat/Zilla/Rekles/Seska/MotifOnTheBeat

Niki chapa naichapanga jo tena
Niki chapa naichapanga jo tena
Motif di don!


Na ju sijali ata rangi mi na kembaa
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali ata rangi mi na kembaa
Bado gari ni gari kwa dereva


Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena


Cheki na na nani na ni otero
Cheki da anadandia kaambie pero
Ka ni ikus nataka nkaambie Shiro
Na Shiro ananishow ana mashiro
Digithia digithia digithia wana
Digithia digithia digithia wana
Digithia digithia digithia wana
Bro zikishikaga achanga wana


Na ju sijali ata rangi mi na kembaa
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali ata rangi mi na kembaa
Bado gari ni gari kwa dereva


Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena


Pika pika ringa lima lima
Pigah mimba chimba kimba pimaa
Vimba vimba lima zima zimaa
Simba ringa bomber figgah ndigah
Mzingah kinda dinda vako pingah
Vanga manga shadda nyanya dakaa
Unaeza lamba bamba mbao saka
Chimba chimba zika banananaa


Na ju sijali ata rangi mi na kembaa
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali ata rangi mi na kembaa
Bado gari ni gari kwa dereva


Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena


Pako ya kondiko na ya kahawa
Safisha rungu alafu maliza na madawa
Usishike tire na ma njoti we nawa
Kula kula style ya chura kula style ya swala
Leo stoki mbata, leo shang’ inang’aa
Pongi hiezi isha, naichapa lala
Adi imwage malaa, ukichoka lala
Ni ku ndakala la
Na wavua kumbe nanga zime para rara


Na ju sijali ata rangi mi na kembaa
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali ata rangi mi na kembaa
Bado gari ni gari kwa dereva


Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena


Na ju sijali ata rangi mi na kembaa
Bado gari ni gari kwa dereva
Na ju sijali ata rangi mi na kembaa
Bado gari ni gari kwa dereva


Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena
Na niki chapa naichapanga jo tena
Chapa naichapanga jo tena


Leo stoki mbata, leo shang’ inang’aa
Pongi hiezi isha, naichapa lala
Adi imwage malaa, ukichoka lala
Ni ku ndakala la
Na wavua kumbe nanga zime para rararara
📥 下载LRC歌词 📄 下载TXT歌词

支持卡拉OK同步显示,可用记事本编辑